Monday, May 18, 2015

Anonymous

PICHAZ: DIAMOND PLATINUMZ AANZA MAANDALIZI KWA AJILI YA MTOTO WAKE WA KIKE!

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameonyesha kuanza maandalizi kwa kijacho wake ambaye imeelezwa ni mtoto wa kike.
Diamond na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' wanatarajia mtoto wa kike mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond ametupia picha akiwa na kitanda cha magurudumu kwa ajili ya mtoto mchanga.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.