Lauren Jauregui, Ally Brooke, Normani Hamilton, Dinah-Jane Hansen na Camila Cabello wa Fifth Harmony wakiwa kwenye pozi.
Wiz Khalifa akiwasili ndani ya Ukumbi wa MGM Grand kwa ajili ya tuzo hizo.
50 Cent na Jennifer Lopez wakila pozi katika Red Carpet.
Iggy Azalea na Britney Spears wakiwa katika tuzo hizo.
Mariah Carey katika pozi.
Nick Jonas.
Jennifer Lopez akipozi katika Red Carpet.
Chris Brown na binti yake wakiwa katika pozi.
Note: Only a member of this blog may post a comment.