Friday, April 24, 2015

Anonymous

SHOCKING VIDEO: Imetokea saa chache zilizopita, Wanafunzi walikua wanaimba na kuenjoy alafu stage ikatoboka na kuzama

stage 3
Ni yale matukio ambayo huwa hayajitokezi sana, imetokea Indiana Marekani ambako Wanafunzi walikua kwenye tamasha la muziki wa Rock shuleni, wachache ndio walikua wanatumbuiza lakini muda mfupi baadae baada ya muziki kunoga wengine wakaja kucheza nao kwenye stage. 

Kilichofata ni stage kuzama baada ya kutoboka na kufanya Wanafunzi zaidi ya 12 kujeruhiwa ambapo hii video hapa chini ni ya mtu aliyekua anarekodi tukio zima na inaonyesha live jinsi ilivyotokea mpaka ikazama na Wanafunzi hao.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.