
PICHA
YA ZITTO AKIMUOMBEA KURA MNYIKA KATIKA UCHAGUZI ULIOPITA YALETA GUMZO
MTANDAONI NA KUZUA MASWALI YASIYO NA MAJIBU KUHUSU UHUSIANO WAO KWA SASA!
TUMETOKA MBALI: Picha hii ni gumzo kwa sasa mtandaoni! Mengi yanasemwa kuihusu, ila wao ni wao na sisi ni sisi wadau! Sasa basi hapa twende kikwetu kwetu (ki-kandili kandili) zaidi; Najua una kitu cha kuongea kuhusu hii picha mdau wangu, sasa basi fanya kuniachia comment hapo chini ushee na wenzako!

Note: Only a member of this blog may post a comment.