KUTOKA BUNGENI LIVE: BUNGE LIMESITISHWA
John Mnyika ametoa hoja swala la uandikishaji lijadiliwe kwa dharura kwani hadi sasa hata mkoa moja wa Njombe haujakamilika. ️Hii ni hoja ya dharura
Wabunge wa CCM wakaanza kuzomea, spika Makinda, amewapiga mkwara na kusema atakayeendelea kuzomea anaita polisi wamtoe nje.
Hata hivyo Makinda anakataa hoja Baada ya Mnyika kumtaka Waziri Mkuu, Pinda, kutoa majibu sasa hivi kwani hoja hii ni ya dharura.

Fujo zimeanza na wabunge wameanza Kusema hakijadiliwi kitu!
TBC IMEKATA MATANGAZO. BUNGE LIMESIMAMA WABUNGE WANAPIGA KELELE NA KUSEMA KWA NINI SPIKA UNAILINDA SERIKALI, UNAHARIBU BUNGE, WABUNGE WAMESIMAMA SPIKA ASITISHA BUNGE!

Note: Only a member of this blog may post a comment.