Tuesday, March 24, 2015

Anonymous

AIBU BONGO MUVI! Sio JB pekee, Hizi ni baadhi ya Filamu za Marehemu Kanumba na Ray walizokopi Stori Mpaka Majina

Mcheza filamu za kibongo ambae pia ni muigiazaji wa michezo ya kuigiza kupitia kituo cha televisheni cha Chanel Ten, Rachel Silvestar  amesma anashangazwa na baadhi ya watu kumchukulia vibaya muogizaji mkongwe JB baada ya kuonekana amekopi filamu ya kihindi na kuiita mzee wa swaga wakati hicho kitendo ni cha kawaida kwenye sanaa duniani na JB sio mtu wa kwanza kukupi filamu za nje.
Amesema wasanii wakubwa pia kama marehemu Kanumba na Ray nao wamewahi kukopi filamu za nje tena mpaka majina tofauti na alivyofanya JB kuchukua tu stori,na ikumbukwe ukukopi ukafanya vizuri basi hiyo ndio sanaa maana wengi wanakopi lakini hawafanyi vizuri ila JB amefanya vizuri.
 
Hapo juu ni baadhi ya filamu za kizungu ambazo marehemu Kanumba na Ray walizokopi stori mpaka majina, pia na picha ya Rachel akiwa na Zamaradi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.