Saturday, March 21, 2015

Anonymous

5 Pichaz: [TISHA SANA] Wema Sepetu Kwenye Uzinduzi Rasmi wa Mitsubishi ASX

Hizi ni baadhi ya picha  za mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu hapo jana usiku  katika uzinduzi rasmi  wa gari la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX  akiwa kama balozi. 

Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, walipata shavu la kutengeneza tangazo la  gari hilo jipya  ambapo kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.
Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless Fame

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.