Friday, February 26, 2016

Anonymous

Aliye Hack Account ya Instagram ya Petit Man Afunguka Makubwa.... Atoa Sababu 6 Kwanini Ameamua Kuiba Hiyo Account

Mpambe wa Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la Petit Man Amepoteza account yake ya Instagram yenye followers 679 baada ya mtu mmoja kuihack na kubadili jina kisha kufuta picha zote na kuweka moja kisha kuandika ujumbe huu hapa chini:
Nimeamua kubeba AC ya huyu bwana kwa sababu zifuatazo
_____________________________________
... 1: Ukimueleza shida yoyote ile iwe salamu au nn kupitia whatsapp unaambulia matusi.. tena matusi makubwa kweli kweli..
2:Nataka ajifunze kua ye sio mjanja ila tupo wajanja zaidi yake
3: Ntatumia hii AC kufanya biashara za matangazo.. na namba ntaweka na hakuna wa kunikamata Bongo hiii ya wazembe labda huko Mbele(USA)
4:Kama we ulidhani mi fala kuhack hii akaunti bhas we ndo fala zaidi...
5:We si ulikua unatumia hii akaunti kupost picha tu?? Mi ntatumia hii kutafuta hela
6:Mkizingua saana ntaenda kuidelete tu hii AC
__________________________
TATIZO NI UMASKINI.. TUNA ELIMU AF HATUNA HELA TUFANYE NN?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.