Baba mzazi wa Diamond Platnumz, Abdul Juma.
MAYASA MARIWATA NA GLADNES MALLYABABA wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma amesema kuwa, anaumia kuona hata binti yake Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ sasa kamsusa kama ilivyo kwa kaka yake (Diamond).
Queen Darleen.
Baada ya kunasa malalamiko hayo, Queen Darleen alitafutwa na alipopatikana alisema: “Hahaa baba bwana! Nilijua lazima atalalamika, mimi nipo naye sambamba mwanzo mwisho, hakuna tatizo lolote na asihofu ila mara nyingi akinipigia nakuwa bize.”

Note: Only a member of this blog may post a comment.