Wednesday, June 3, 2015

Anonymous

VIDEO: Diamond aitambulisha style ya Kibega ya Makomando Afrika kwenye video ya Nakupenda na Iyanya

Diamond anaendelea kuifanya vizuri kazi yake ya ubalozi wa nchi yake katika majukwaa ya kimataifa.
Hivi karibuni aliutambulisha muziki wa mduara duniani na sasa ameitambulisha style ya kucheza iliyoanzia Tanzania. 

Kwenye video ya wimbo wake na Iyanya, ‘Nakupenda’, Diamond ameitambulisha style ya Kibega iliyoanzishwa na Makomando.
Diamond anaonekana kumfundisha Iyanya kucheza style ya kibega kwenye video hiyo.
Tazama video hiyo hapa mdau... 

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.