Wednesday, June 3, 2015

Anonymous

REKODI ya Rais OBAMA Twitter Yavunjwa na Baba'ake KIM KARDASHIAN Aliyejibadili Jinsia!

Caitlyn Jenner, ambaye kabla ya kubadili jina alikuwa akifahamika kama Bruce Jenner ambaye ni mama wa kambo baba wa kambo wa Kim Kardashian aliyejibadilisha na kuwa mwanamke, amevunja rekodi ya dunia kwa kuwa mtu wa kwanza kufikisha followers milioni moja wa Twitter ndani ya saa nne na dakika tatu.
caitlyn-jenner
Caitlyn alitweet furaha yake kupitia akaunti yake mpya ya Twitter.
jenner
guiness
Rekodi hiyo hapo awali iliwekwa na rais wa Marekani, Barack Obama baada ya kufungua akaunti yake binafsi ya Twitter mwezi uliopita.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.