Mara
ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines
baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi..
Kumbe ni RaisKenyatta aliyemwona msichana huyo akitokwa machozi huku
akimpungia mkono.. akasimamisha msafara wake na kumsalimia msichana
huyo.
Leo karudi tena kwenye headlines nyingine, kilio chake cha furaha kimesababisha awe mgeni kabisa ndani ya Ofisi ya Rais Kenyatta, Nairobi Kenya.
Ndoto yake labda ilikuwa kumwona Rais Kenyatta, ndoto imetimia na amekuwa mgeni leo Ikulu ya Rais huyo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.