Uvumilivu wa kuisubiri video ya ‘Chekecha’ umewashinda mashabiki wa
muimbaji Alikiba ambao wameamua kumuomba,kumbembeleza, kumkumbusha kuwa
wanamdai video ya wimbo huo ambao audio yake ilitoka mwishoni mwa
February, 2015.
Baada ya Kiba kupost picha yake ya kawaida tu na kuandika #KingKiba,
mashabiki hao walianza kutiririka kila mmoja akitumia nafasi yake
kumkumbusha Alikiba juu ya deni alilonalo kwao.
Hizi ni baadhi ya comments hizo:
jrmbaga-Yan mwana cyo cri hutufanyi tuwe proud kwa nn lakin daaah tatizo nn
dallas_da_junior-Achia video @officialalikiba na cc tupumue hawa mamba wamechafua maj wananch tunashndwa kuyanywa
luzigasuso02-….vdeo jmn mbona ivyo lkn aaggrr asee jomba unazngua bana….@@@officialalikiba
dallas_da_junior-@officialalikiba unajua mashabk wako tunakukubal bt unatuangusha y y y #king
officialbuoywonder-Your management is wasting you.. Poor timing in video release.. You need to re-think man. @officialalikiba
s.bway-Tatizo rako kiba aupendeki mashabiki wko unatuboa
mkchmu-duh mwana mbona unatufanya tuwe wapole toa video bc@officialikiba
nassebndege-mwanangu toa kichupa kingkiba
tony_mikeka-fanya video kali ,tafuta management nzuri acha undezi @officialalikiba
genevieveprincess19-Jitaidi utoe mziki wew, mbona una lala xana.
alimigoko-Bro vipi video unaiachia lini maana tunapata shida sana kitaan
bforshizzle-Mzazi kiba tunapata tabu saana embu toa video ya cheketua
tony_mikeka-tutahamia kwa mnyoa denge a.k.a Polissi(r.mavoko) ka bado utakua unazngua
davidcorne59-kiba unatuchosha huku mtaa watu WAPO
Nanaaa…Naanaa….nanaaa….cheketua kapuni…au unaela video tukuchangia cz
Dangote anatunyima raha huku mtaa kila sehemu Nana …nanaaaa….
halley_sweety-My roho,my king toa vdeo jamanii tufunge midomo vilaza.. @bforshizzle @heemforsure @abuy4real1
mamytriple_n-kweli si uwongo tupe mavitu nasisi tusikie rahaa utatuchosaha@officialalikiba ukiona tunakwambia kitu ujue tunakupenda
official_mursaly_juxha-Unaboa kinoma jamaa lakin
acha jamaa ang’ae kwan huna changomoto kwake kila cku porojo 2 utakuwa
mfalme kwa kujiita co kwa kazi unazofanya
allymbelemba-Kaka kib VP video ya chekecha
saumkingo-Na badoo hamjajuta siwezi kuwa shabiki wa
mwanamziki ambae ananitia mawazo shida za nn wakati raha ziko huku team
diamond forever huku no stress kila cku raha tu team watafutaji team
ushindi hatushindani tunashindanishwa
abdul_nurdin-Yan kiukwel hututendei haki kabisa
@officialalikiba unatufanya mpk tunajuta kusema mtaani kama cc team kiba
yan bado unaishi kianalojia kabisa kiba kiukwel unaboa sana
wanaokusifia ndio wanazid kukudimiza na kama kuna itirafu yoyote kwenye
hy video ni bora ungekuwa unasema ila unakaa kimya sana cc washabiki
hatujui na lait ungekuwa unajua jinc gn tunataniwa huku mtaani yn
usingefanya ujinga kbx ila ukizid kuzingua watu tutazid kukuama
hakiyamungu vile badilika
s.bway-Kiba kiukweri cyo kiba wa zaman ckuizi umelala sana paka mashabiki tunakuamsha bado utuelewi km team ya taïfa ishauriki
luzigasuso02-….inaboa xn mtu unamkubali af haonyeshi
ata kama anamashabik wng wanamkubali vdeo miez sasa ngoma mpya kila cku
soon unaboa mzee awa waswahili nadhan unawajua wakikuchoka muulze
mwenzio anavyopata shida….kila ck ##kingkiba updates hamna…unatuchosha
xn shukuru mungu kuwa na mashabik royal iv wanaweza kukupgania na
kukung’ang’ania kiac ik…lkn cjui nn shida…VDEO VDEO VDEO VDEO
AAGGGRR…@@@officialalikiba @@officialalikiba @@officialalikiba
mgomera_tz-Hata @bellachristian1 alisema kiba ni
mzur ila asikae sana kutoa video. Mashabiki wko watakuchoka bure umeckia
we unaejiita king @officialalikiba ila mm ni team @diamondplatnumz
msubaz-Nikimwangalia kiba nachoka kabisa!! jamaa
anapendwa sanaaa, lakini jamaa ni kama 0 yaani tunajisubua kumpenda na
kumshindanisha na .mtu anaetusua vibayavibaya kimataifa. Kiba simlaumu
coz yeye kalizika kua wahapahapa, lakini sisi mashabiki wake tunapenda
awe wakimataifa zaid kitu ambacho yeye hakitaki. hebu fikilieni
tulipopiga. kelele video ya mwana, tukajua atajilekebisha lakini
yaleyale yanato:kea kwenye chekecha. sasa hamjamuelewa !!? Acha
tumwachie muzki wake afanye anavyotaka. ila chonde msimfananishe na
WAKIMATAIFA wakati yeye anapenda kua wa MCHANGANI.

Note: Only a member of this blog may post a comment.