Wednesday, June 3, 2015

Anonymous

HABARI PICHAZ: Nimeamka Nimejikuta Nina Mabadiliko Mwilini -Nisha wa Bongo Muvi Afunguka!


Staa wa bongo Movies mwenye visa na vituko vyakufurahisha, Salma Jabu ‘Nisha’ amabaye kwa sasa anatamba sokoni na MTAA kwa MTAA  amewaaacha hoi mashabiki wake baada yakutupia picha hii mtandaoni na kuandika “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”. 

Picha hii imekuwa ikisambaa kwa kasi zaidi mtandaoni  huku kila mtu akiichombeza kwa maneno yake ukizingatia siku za hivi karibuni kuna baadhi ya mastaa wa kiume wa hapa Bongo wamekuwa wakipiga picha za namna hiyo na kuzua  ‘stories’ mitandaoni wakati huu huo huko nchini  Marekani stori za baba mlezi wa mwanamintindo Kim Kardashian, Bruce Jenner  kijibadili jinsia zimeshika kasi.
Hivi ni vijimambo tu jamani.
Mzee wa Ubuyu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.