Tuesday, June 2, 2015

Anonymous

ALICHOKIANDIKA BILIONEA MENGI KUHUSU KUTUKANWA KISA LOWASSA NA SAFARI YA MATUMAINI!

Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.

Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.