Rihanna (27) ni star ambaye hata akikaa kimya kwa muda lakini ana
njia zake za kuwafanya wahariri wasimpite bila kuandika chochote kuhusu
yeye kupitia mavazi ambayo huchagua kuvaa.
Jumapili iliyopita Bad girl Riri alionekana mitaa ya New York akiwa
amevaa vazi refu lililoandikwa kwa maandishi makubwa kamwe huwezi
kunimiliki “You Will Never Own Me” kwa mbele, na nyuma limeandikwa “I
Will Never Fear You”.

Note: Only a member of this blog may post a comment.