Friday, March 27, 2015

Anonymous

Soudy Brown amekutana na Diamond na Zari.. Swali la ujauzito limejibiwa? #UHeard

Leo Soudy Brown ana story mtu wangu, anasema jana MARCH 26 akiwa kwenye mizunguko yake alifika katika Hoteli moja Dar, akakutana na Diamond Platnumz akiwa na mpenzi wake Zari.
Wakati huo Diamond alikuwa anakula chakula lakini Zari hakuwa anakula.. katika mazungumzo yao Soudy alimuuliza Zari kwanini yeye hali, akamjibu kwamba ameshakula sana. 

Swali jingine la Soudy lilikuwa ishu ya ujauzito, akamwambia kwamba watu hawaamini kama kweli ana ujauzito.. Zari akacheka na hakujibu chochote. Soudy aliongozana nao pia....

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.