Friday, March 27, 2015

Anonymous

CHEKA UNENEPE: Hapa kuna hii Video ya utani wa Cristiano Ronaldo kwenye gari la mchezaji mwenzake…

cape
Haikuwa kazi rahisi kuamini alichokikuta Ricardo Quaresma wa klabu ya Ureno katika gari lake baada ya utani alioufanya mchezaji mwenzake, Cristiano Ronaldo. 

Ukiachia umakini wake anapokuwa uwanjani Ronaldo alionyesha utani wa aina yake baada ya kuamua kuzungushia nailoni nyepesi kwenye gari ya mchezaji mwenzake huku akilipamba na logo ya CR7 ya kampuni ya Nike ambayo ipo kwenye kiatu chake.
cr7
Baada ya kufanya hivyo Cristiano Ronaldo aliandika kwenye ukurasa wake wa twitter; “Hey @07RQuaresma, thought you could use a little more speed for our next match!”– @Cristiano

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.